Surah At-Takwir

    The Overthrowing

    التكوير
    Progress1 / 29
    1
    التكوير
    إِذَا ٱلشَّمْسُ كُوِّرَتْ
    Click to flip

    You've completed At-Takwir!

    Swipe or use ← → keys to navigate, Space to flip

    About Surah At-Takwir

    At-Takwir, the Overthrowing, describes the unraveling of the world at the end of time: the sun folded up, the stars falling, the seas set ablaze. It then affirms that the Quran is the word brought by a noble messenger, and that the Prophet (peace be upon him) was no madman but a true guide.

    The end of the worldTruth of revelationThe noble messengerCertainty

    Arabic: Uthmani script (Hafs). Translation: Swahili (Kiswahili). Recitation: Mishary Rashid Alafasy. See Sources for full attribution.

    Surah At-Takwir (The Overthrowing)

    Surah 81 of the Holy Quran · Meccan · 29 verses

    Also spelled: At Takwir, AtTakwir, Takwir, The Overthrowing

    Surah At-Takwir (The Overthrowing) is the 81th chapter of the Holy Quran. It was revealed in Mecca and contains 29 verses (ayahs). Read it below with the Arabic text, transliteration, and Swahili translation, or open it as interactive flashcards to memorize it verse by verse.

    Read the full surah as text
    1. 81:1

      إِذَا ٱلشَّمْسُ كُوِّرَتْ

      Izash shamsu kuwwirat

      Jua litakapo kunjwa,

    2. 81:2

      وَإِذَا ٱلنُّجُومُ ٱنكَدَرَتْ

      Wa izan nujoomun kadarat

      Na nyota zikazimwa,

    3. 81:3

      وَإِذَا ٱلْجِبَالُ سُيِّرَتْ

      Wa izal jibaalu suyyirat

      Na milima ikaondolewa,

    4. 81:4

      وَإِذَا ٱلْعِشَارُ عُطِّلَتْ

      Wa izal 'ishaaru 'uttilat

      Na ngamia wenye mimba pevu watakapo achwa wasishughulikiwe,

    5. 81:5

      وَإِذَا ٱلْوُحُوشُ حُشِرَتْ

      Wa izal wuhooshu hushirat

      Na wanyama wa mwituni wakakusanywa,

    6. 81:6

      وَإِذَا ٱلْبِحَارُ سُجِّرَتْ

      Wa izal bihaaru sujjirat

      Na bahari zikawaka moto,

    7. 81:7

      وَإِذَا ٱلنُّفُوسُ زُوِّجَتْ

      Wa izan nufoosu zuwwijat

      Na nafsi zikaunganishwa,

    8. 81:8

      وَإِذَا ٱلْمَوْءُۥدَةُ سُئِلَتْ

      Wa izal maw'oodatu su'ilat

      Na msichana aliye zikwa hai atapo ulizwa,

    9. 81:9

      بِأَىِّ ذَنۢبٍۢ قُتِلَتْ

      Bi ayyi zambin qutilat

      Kwa kosa gani aliuliwa?

    10. 81:10

      وَإِذَا ٱلصُّحُفُ نُشِرَتْ

      Wa izas suhufu nushirat

      Na madaftari yatakapo enezwa,

    11. 81:11

      وَإِذَا ٱلسَّمَآءُ كُشِطَتْ

      Wa izas samaaa'u kushitat

      Na mbingu itapo tanduliwa,

    12. 81:12

      وَإِذَا ٱلْجَحِيمُ سُعِّرَتْ

      Wa izal jaheemu su'-'irat

      Na Jahannamu itapo chochewa,

    13. 81:13

      وَإِذَا ٱلْجَنَّةُ أُزْلِفَتْ

      Wa izal jannatu uzlifat

      Na Pepo ikasogezwa,

    14. 81:14

      عَلِمَتْ نَفْسٌۭ مَّآ أَحْضَرَتْ

      'Alimat nafsum maaa ahdarat

      Kila nafsi itajua ilicho kihudhurisha.

    15. 81:15

      فَلَآ أُقْسِمُ بِٱلْخُنَّسِ

      Falaaa uqsimu bil khunnas

      Naapa kwa nyota zinapo rejea nyuma,

    16. 81:16

      ٱلْجَوَارِ ٱلْكُنَّسِ

      Al jawaaril kunnas

      Zinazo kwenda, kisha zikajificha,

    17. 81:17

      وَٱلَّيْلِ إِذَا عَسْعَسَ

      Wallaili izaa 'as'as

      Na kwa usiku unapo pungua,

    18. 81:18

      وَٱلصُّبْحِ إِذَا تَنَفَّسَ

      Wassubhi izaa tanaffas

      Na kwa asubuhi inapo pambazuka,

    19. 81:19

      إِنَّهُۥ لَقَوْلُ رَسُولٍۢ كَرِيمٍۢ

      Innahoo laqawlu rasoolin kareem

      Kwamba hakika bila ya shaka hii ni kauli ya Mjumbe mtukufu,

    20. 81:20

      ذِى قُوَّةٍ عِندَ ذِى ٱلْعَرْشِ مَكِينٍۢ

      Zee quwwatin 'inda zil 'arshi makeen

      Mwenye nguvu na mwenye cheo kwa huyo Mwenye Kiti cha Enzi,

    21. 81:21

      مُّطَاعٍۢ ثَمَّ أَمِينٍۢ

      Mutaa'in samma ameen

      Anaye t'iiwa, tena muaminifu.

    22. 81:22

      وَمَا صَاحِبُكُم بِمَجْنُونٍۢ

      Wa maa saahibukum bimajnoon

      Na wala huyu mwenzenu hana wazimu.

    23. 81:23

      وَلَقَدْ رَءَاهُ بِٱلْأُفُقِ ٱلْمُبِينِ

      Wa laqad ra aahu bilufuqil mubeen

      Na hakika yeye alimwona kwenye upeo wa macho ulio safi.

    24. 81:24

      وَمَا هُوَ عَلَى ٱلْغَيْبِ بِضَنِينٍۢ

      Wa maa huwa 'alal ghaibi bidaneen

      Wala yeye si bakhili kwa mambo ya ghaibu.

    25. 81:25

      وَمَا هُوَ بِقَوْلِ شَيْطَٰنٍۢ رَّجِيمٍۢ

      Wa maa huwa biqawli shaitaanir rajeem

      Wala hii si kauli ya Shetani maluuni.

    26. 81:26

      فَأَيْنَ تَذْهَبُونَ

      Fa ayna tazhaboon

      Basi mnakwenda wapi?

    27. 81:27

      إِنْ هُوَ إِلَّا ذِكْرٌۭ لِّلْعَٰلَمِينَ

      In huwa illaa zikrul lil'aalameen

      Haikuwa hii ila ni ukumbusho kwa walimwengu wote.

    28. 81:28

      لِمَن شَآءَ مِنكُمْ أَن يَسْتَقِيمَ

      Liman shaaa'a minkum ai yastaqeem

      Kwa yule miongoni mwenu anaye taka kwenda sawa.

    29. 81:29

      وَمَا تَشَآءُونَ إِلَّآ أَن يَشَآءَ ٱللَّهُ رَبُّ ٱلْعَٰلَمِينَ

      Wa maa tashaaa'oona illaaa ai yashaaa 'al laahu Rabbul 'Aalameen

      Wala nyinyi hamtataka isipo kuwa atake Mwenyezi Mungu Mola Mlezi wa walimwengu wote.