All Surahs

Surah Al-Ghashiyah (undefined)

سُورَةُ الغَاشِيَةِ

Surah 88 of the Holy Quran · Meccan · 26 verses

Also spelled: Ghashiyah, Al Ghashiyah, AlGhashiyah, The Overwhelming

Surah Al-Ghashiyah (undefined) is the 88th chapter of the Holy Quran. It was revealed in Mecca and contains 26 verses (ayahs). Read it below with the Arabic text, transliteration, and Swahili translation, or open it as interactive flashcards to memorize it verse by verse.

  1. 88:1

    هَلْ أَتَىٰكَ حَدِيثُ ٱلْغَٰشِيَةِ

    Hal ataaka hadeesul ghaashiyah

    Je! Imekufikia khabari ya msiba wa kufudikiza?

  2. 88:2

    وُجُوهٌۭ يَوْمَئِذٍ خَٰشِعَةٌ

    Wujoohuny yawma 'izin khaashi'ah

    Siku hiyo nyuso zitainama,

  3. 88:3

    عَامِلَةٌۭ نَّاصِبَةٌۭ

    'Aamilatun naasibah

    Zikifanya kazi, nazo taabani.

  4. 88:4

    تَصْلَىٰ نَارًا حَامِيَةًۭ

    Taslaa naaran haamiyah

    Ziingie katika Moto unao waka -

  5. 88:5

    تُسْقَىٰ مِنْ عَيْنٍ ءَانِيَةٍۢ

    Tusqaa min 'aynin aaniyah

    Zikinyweshwa kutoka chemchem inayo chemka.

  6. 88:6

    لَّيْسَ لَهُمْ طَعَامٌ إِلَّا مِن ضَرِيعٍۢ

    Laisa lahum ta'aamun illaa min daree'

    Hawatakuwa na chakula isipo kuwa kichungu chenye miba.

  7. 88:7

    لَّا يُسْمِنُ وَلَا يُغْنِى مِن جُوعٍۢ

    Laa yusminu wa laa yughnee min joo'

    Hakinenepeshi wala hakiondoi njaa.

  8. 88:8

    وُجُوهٌۭ يَوْمَئِذٍۢ نَّاعِمَةٌۭ

    Wujoohuny yawma 'izin naa'imah

    Siku hiyo nyuso nyengine zitakuwa kunjufu.

  9. 88:9

    لِّسَعْيِهَا رَاضِيَةٌۭ

    Lisa'yihaa raadiyah

    Zitakuwa radhi kwa juhudi yao,

  10. 88:10

    فِى جَنَّةٍ عَالِيَةٍۢ

    Fee jannatin 'aaliyah

    Katika Bustani ya juu.

  11. 88:11

    لَّا تَسْمَعُ فِيهَا لَٰغِيَةًۭ

    Laa tasma'u feehaa laaghiyah

    Hawatasikia humo upuuzi.

  12. 88:12

    فِيهَا عَيْنٌۭ جَارِيَةٌۭ

    Feehaa 'aynun jaariyah

    Humo imo chemchem inayo miminika.

  13. 88:13

    فِيهَا سُرُرٌۭ مَّرْفُوعَةٌۭ

    Feehaa sururum marfoo'ah

    Humo vimo viti vilivyo nyanyuliwa,

  14. 88:14

    وَأَكْوَابٌۭ مَّوْضُوعَةٌۭ

    Wa akwaabum mawdoo 'ah

    Na bilauri zilizo pangwa,

  15. 88:15

    وَنَمَارِقُ مَصْفُوفَةٌۭ

    Wa namaariqu masfoofah

    Na matakia safu safu,

  16. 88:16

    وَزَرَابِىُّ مَبْثُوثَةٌ

    Wa zaraabiyyu mabsoosah

    Na mazulia yaliyo tandikwa.

  17. 88:17

    أَفَلَا يَنظُرُونَ إِلَى ٱلْإِبِلِ كَيْفَ خُلِقَتْ

    Afalaa yanzuroona ilalibili kaifa khuliqat

    Je! Hawamtazami ngamia jinsi alivyo umbwa?

  18. 88:18

    وَإِلَى ٱلسَّمَآءِ كَيْفَ رُفِعَتْ

    Wa ilas samaaa'i kaifa rufi'at

    Na mbingu jinsi ilivyo inuliwa?

  19. 88:19

    وَإِلَى ٱلْجِبَالِ كَيْفَ نُصِبَتْ

    Wa ilal jibaali kaifa nusibat

    Na milima jinsi ilivyo thibitishwa?

  20. 88:20

    وَإِلَى ٱلْأَرْضِ كَيْفَ سُطِحَتْ

    Wa ilal ardi kaifa sutihat

    Na ardhi jinsi ilivyo tandazwa?

  21. 88:21

    فَذَكِّرْ إِنَّمَآ أَنتَ مُذَكِّرٌۭ

    Fazakkir innama anta Muzakkir

    Basi kumbusha! Hakika wewe ni Mkumbushaji.

  22. 88:22

    لَّسْتَ عَلَيْهِم بِمُصَيْطِرٍ

    Lasta 'alaihim bimusaitir

    Wewe si mwenye kuwatawalia.

  23. 88:23

    إِلَّا مَن تَوَلَّىٰ وَكَفَرَ

    Illaa man tawallaa wa kafar

    Lakini anaye rudi nyuma na kukataa,

  24. 88:24

    فَيُعَذِّبُهُ ٱللَّهُ ٱلْعَذَابَ ٱلْأَكْبَرَ

    Fa yu'azzibuhul laahul 'azaabal akbar

    Basi Mwenyezi Mungu atamuadhibu kwa adhabu iliyo kubwa kabisa!

  25. 88:25

    إِنَّ إِلَيْنَآ إِيَابَهُمْ

    Innaa ilainaaa iyaabahum

    Hakika ni kwetu Sisi ndio marejeo yao.

  26. 88:26

    ثُمَّ إِنَّ عَلَيْنَا حِسَابَهُم

    Summa inna 'alainaa hisaabahum

    Kisha hakika ni juu yetu Sisi hisabu yao!

About Surah Al-Ghashiyah

Al-Ghashiyah, the Overwhelming, contrasts two faces on the Day of Judgment: the weary, downcast faces of the deniers and the joyful, content faces of the believers in a lofty garden. It then invites reflection on the camel, the sky, the mountains, and the earth, simple signs that point to the Creator.

Themes: Two faces on Judgment Day, Reward and loss, Signs in creation, Reflection

Arabic: Uthmani script (Hafs). Translation: Swahili. Recitation: Mishary Rashid Alafasy. See Sources for full attribution.