Surah Al-Fajr (undefined) is the 89th chapter of the Holy Quran. It was revealed in Mecca and contains 30 verses (ayahs). Read it below with the Arabic text, transliteration, and Swahili translation, or open it as interactive flashcards to memorize it verse by verse.
- 89:1
وَٱلْفَجْرِ
Wal-Fajr
Naapa kwa alfajiri,
- 89:2
وَلَيَالٍ عَشْرٍۢ
Wa layaalin 'ashr
Na kwa masiku kumi,
- 89:3
وَٱلشَّفْعِ وَٱلْوَتْرِ
Wash shaf'i wal watr
Na kwa viwili viwili na kimoja kimoja,
- 89:4
وَٱلَّيْلِ إِذَا يَسْرِ
Wallaili izaa yasr
Na kwa usiku unapo pita,
- 89:5
هَلْ فِى ذَٰلِكَ قَسَمٌۭ لِّذِى حِجْرٍ
Hal fee zaalika qasamul lizee hijr
Je! Hapana katika haya kiapo kwa mwenye akili?
- 89:6
أَلَمْ تَرَ كَيْفَ فَعَلَ رَبُّكَ بِعَادٍ
Alam tara kaifa fa'ala rabbuka bi'aad
Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo wafanya kina A'di?
- 89:7
إِرَمَ ذَاتِ ٱلْعِمَادِ
Iramaa zaatil 'imaad
Wa Iram, wenye majumba marefu?
- 89:8
ٱلَّتِى لَمْ يُخْلَقْ مِثْلُهَا فِى ٱلْبِلَٰدِ
Allatee lam yukhlaq misluhaa fil bilaad
Ambao haukuumbwa mfano wake katika nchi?
- 89:9
وَثَمُودَ ٱلَّذِينَ جَابُوا۟ ٱلصَّخْرَ بِٱلْوَادِ
Wa samoodal lazeena jaabus sakhra bil waad
Na Thamudi walio chonga majabali huko bondeni?
- 89:10
وَفِرْعَوْنَ ذِى ٱلْأَوْتَادِ
Wa fir'awna zil awtaad
Na Firauni mwenye vigingi?
- 89:11
ٱلَّذِينَ طَغَوْا۟ فِى ٱلْبِلَٰدِ
Allazeena taghaw fil bilaad
Ambao walifanya jeuri katika nchi?
- 89:12
فَأَكْثَرُوا۟ فِيهَا ٱلْفَسَادَ
Fa aksaroo feehal fasaad
Wakakithirisha humo ufisadi?
- 89:13
فَصَبَّ عَلَيْهِمْ رَبُّكَ سَوْطَ عَذَابٍ
Fasabba 'alaihim Rabbuka sawta 'azaab
Basi Mola wako Mlezi aliwapiga mjeledi wa adhabu.
- 89:14
إِنَّ رَبَّكَ لَبِٱلْمِرْصَادِ
Inna Rabbaka labil mirsaad
Hakika Mola wako Mlezi yupo kwenye mavizio anawavizia.
- 89:15
فَأَمَّا ٱلْإِنسَٰنُ إِذَا مَا ٱبْتَلَىٰهُ رَبُّهُۥ فَأَكْرَمَهُۥ وَنَعَّمَهُۥ فَيَقُولُ رَبِّىٓ أَكْرَمَنِ
Fa ammal insaanu izaa mab talaahu Rabbuhoo fa akramahoo wa na' 'amahoo fa yaqoolu Rabbeee akraman
Ama mtu anapo jaribiwa na Mola wake Mlezi, akamkirimu na akamneemesha, husema: Mola wangu Mlezi amenikirimu!
- 89:16
وَأَمَّآ إِذَا مَا ٱبْتَلَىٰهُ فَقَدَرَ عَلَيْهِ رِزْقَهُۥ فَيَقُولُ رَبِّىٓ أَهَٰنَنِ
Wa ammaaa izaa mabtalaahu faqadara 'alaihi rizqahoo fa yaqoolu Rabbeee ahaanan
Na ama anapo mjaribu akampunguzia riziki yake, husema: Mola wangu Mlezi amenitia unyonge!
- 89:17
كَلَّا ۖ بَل لَّا تُكْرِمُونَ ٱلْيَتِيمَ
Kalla bal laa tukrimooo nal yateem
Sivyo hivyo! Bali nyinyi hamuwakirimu mayatima,
- 89:18
وَلَا تَحَٰٓضُّونَ عَلَىٰ طَعَامِ ٱلْمِسْكِينِ
Wa laa tahaaaddoona 'alaata'aamil miskeen
Wala hamhimizani kulisha masikini;
- 89:19
وَتَأْكُلُونَ ٱلتُّرَاثَ أَكْلًۭا لَّمًّۭا
Wa taakuloonat turaasa aklal lammaa
Na mnakula urithi kwa ulaji wa pupa,
- 89:20
وَتُحِبُّونَ ٱلْمَالَ حُبًّۭا جَمًّۭا
Wa tuhibboonal maala hubban jammaa
Na mnapenda mali pendo la kupita kiasi.
- 89:21
كَلَّآ إِذَا دُكَّتِ ٱلْأَرْضُ دَكًّۭا دَكًّۭا
Kallaaa izaaa dukkatil ardu dakkan dakka
Sivyo hivyo! Itakapo vunjwa ardhi vipande vipande,
- 89:22
وَجَآءَ رَبُّكَ وَٱلْمَلَكُ صَفًّۭا صَفًّۭا
Wa jaaa'a Rabbuka wal malaku saffan saffaa
Na akaja Mola wako Mlezi na Malaika safu safu,
- 89:23
وَجِا۟ىٓءَ يَوْمَئِذٍۭ بِجَهَنَّمَ ۚ يَوْمَئِذٍۢ يَتَذَكَّرُ ٱلْإِنسَٰنُ وَأَنَّىٰ لَهُ ٱلذِّكْرَىٰ
Wa jeee'a yawma'izim bi jahannnam; Yawma 'iziny yatazakkarul insaanu wa annaa lahuz zikraa
Na ikaletwa Jahannamu siku hiyo, siku hiyo mtu atakumbuka! Lakini kukumbuka huko kutamfaa nini?
- 89:24
يَقُولُ يَٰلَيْتَنِى قَدَّمْتُ لِحَيَاتِى
Yaqoolu yaa laitanee qaddamtu lihayaatee
Atasema: Laiti ningeli jitangulizia kwa uhai wangu!
- 89:25
فَيَوْمَئِذٍۢ لَّا يُعَذِّبُ عَذَابَهُۥٓ أَحَدٌۭ
Fa Yawma izil laa yu'azzibu 'azaabahooo ahad
Basi siku hiyo hataadhibu yeyote namna ya kuadhibu kwake.
- 89:26
وَلَا يُوثِقُ وَثَاقَهُۥٓ أَحَدٌۭ
Wa laa yoosiqu wasaaqa hooo ahad
Wala hatafunga yeyote kama kufunga kwake.
- 89:27
يَٰٓأَيَّتُهَا ٱلنَّفْسُ ٱلْمُطْمَئِنَّةُ
Yaaa ayyatuhan nafsul mutma 'innah
Ewe nafsi iliyo tua!
- 89:28
ٱرْجِعِىٓ إِلَىٰ رَبِّكِ رَاضِيَةًۭ مَّرْضِيَّةًۭ
Irji'eee ilaa Rabbiki raadiyatam mardiyyah
Rejea kwa Mola wako Mlezi umeridhika, na umemridhisha.
- 89:29
فَٱدْخُلِى فِى عِبَٰدِى
Fadkhulee fee 'ibaadee
Basi ingia miongoni mwa waja wangu,
- 89:30
وَٱدْخُلِى جَنَّتِى
Wadkhulee jannatee
Na ingia katika Pepo yangu.
About Surah Al-Fajr
Al-Fajr, the Dawn, opens with oaths by the dawn and the nights of worship, then recalls the proud nations of 'Ad, Thamud, and Pharaoh who were brought low. It corrects the idea that wealth is a sign of Allah's pleasure and poverty a sign of His anger, and closes with the soul at peace returning to its Lord.
Themes: Past nations, The test of wealth and loss, Caring for the needy, The soul at peace
Arabic: Uthmani script (Hafs). Translation: Swahili. Recitation: Mishary Rashid Alafasy. See Sources for full attribution.